Monday, 15 April 2024

MAPOKEZI YA KOMREDI REHEMA SOMBI KATIKA KONGAMANO LA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI SINGIDA MJINI.

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Rehema Sombi Omary (MNEC) alivyo wasili Singida Mjini na kushiriki Kongamano Maalum la Vijana wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Singida Mjini, Aprili 13, 2024.