Wednesday, 18 September 2024

DKT. NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo ameshiriki kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza Kuu. Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Mohammed Ali Mohammed (Kawaida), kimefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma, leo Septemba 17, 2024.

Viongozi wa UVCCM Taifa wakiwa meza Kuu na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Taswira ya kikao hicho.
 

Tuesday, 4 June 2024

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UTEUZI WA KIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

MNEC MWASELELA KUTOA MAFUNZO KUIELEWA MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI

Mjumbe wa  Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM ) Mkoa wa Mbeya katika kikao maalumu kilichofanyika June 4, 2024.

Sunday, 28 April 2024

KATIBU MKUU UVCCM JOKATE MWEGELO ALIVYOPOKELEWA MTWARA

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu kama Ishara ya Amani, Upendo na Mshikamano kwa wananchi wa Mtwara tarehe 28 Aprili, 2028. 

Komredi Jokate Mwegelo ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM

anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi.

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC) akikabidhiwa maua wakati wa mapokezi yake mkoani humo.

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC) akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa kiwanda cha Anno Domoni Food Industry cha mjini Mtwara.
Mapokezi makubwa yakifanyika ya kumpokea Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC)
Mapokezi yakifanyika.
Picha za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan zikioneshwa wakati wa mapokezi hayo.
Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate  Mwegelo (MNEC)akivikwa skafu wakati wa mapokezi hayo.
Vijana wa Itifaki wakiwa tayari kwa mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Mwegelo (MNEC).
 

Saturday, 20 April 2024

MAPOKEZI YA KATIBU MKUU UVCCM COMRADE JOKETI, NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR ,MAHMOD ABDI

Joketi akihutubia wakati akizungumza na Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi Aprili 20, 2024.


Na Mwandishi Wetu, Zanzibar



jj



Monday, 15 April 2024

MAPOKEZI YA KOMREDI REHEMA SOMBI KATIKA KONGAMANO LA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI SINGIDA MJINI.

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Rehema Sombi Omary (MNEC) alivyo wasili Singida Mjini na kushiriki Kongamano Maalum la Vijana wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Singida Mjini, Aprili 13, 2024.

GAZETI LA UHURU LEO JUMANNE APRILI 16, 2024